
Bidhaa ya NUS iliyotengenezwa na wazalishaji wa ndani nchini Tanzania.
- MzalishajiFazy Food Products
- MawasilianoZulfa Msami 0712688743
- ViungoNjugumawe, mchele, ngano, ulezi na mbegu za maboga
- Uthibitisho wa kikaboniInaendelea
- Uthibitisho wa TBSInaendelea
- Wapi KununuaInapatikana sokoni (Lindi) katika maduka makubwa kama Lindi Supermarket, Buti la Zungu na maduka mengine; inaweza kuingia masoko ya mijini.


