Description
Viungo: maharagwe ya Bambara, mchele, ngano, mtama na mbegu za maboga.
Maelezo ya bidhaa
- Producer: Fazy Food Products
- Viambatanisho kuu: Bambara beans, mchele, ngano, mtama na mbegu za maboga.
- Uthibitishaji wa kikaboni:unaendelea >TB Maendeleo
- Barcode:inaendelea
- Upatikanaji: Inapatikana katika soko la ndani (Lindi) katika baadhi ya maduka makubwa kama vile Lindi Super market, Buti la Zungu na maduka mengine; uwezekano wa soko la mijini .
- Wasiliana: Zulfa Msami 0712688743







