Biskuti za Ufuta wa Nazi

Ufuta,Ngano, sukari, hamira, nazi,siagi.

Category:

Description

Viungo: Ufuta, Ngano, sukari, hamira, nazi, siagi.

Maelezo ya bidhaa

  • Mtayarishaji: Cocozania
  • Viungo vikuu: Ufuta,Ngano, sukari, unga wa kuoka, nazi,siagi.
  • Uidhinishaji wa kikaboni:Inaendelea>
  • TB Maendeleo
  • Barcode:inaendelea
  • Upatikanaji: Inapatikana katika masoko yasiyo rasmi/ya ndani jijini Dar , yenye wigo wa kuingia kwenye chaneli kubwa za rejareja za mijini.
  • Wasiliana: Masome Kulwa 0689552150