Description
Viungo: Korosho & Mbegu za maboga.
Maelezo ya bidhaa
- Mtayarishaji: Shamba Organic
- Viungo kuu: Korosho & Mbegu za maboga.
- Uidhinishaji wa kikaboni:Inaendelea
- Udhibitisho wa TBS: Inaendelea
- Msimbopau:inaendelea
- Upatikanaji: Inapatikana kwa sasa katika masoko ya ndani na baadhi ya maduka makubwa kama vile Garden Greenri supermarket, Raha mining Market na Raha miniry Market. na pia kupitia majukwaa ya mtandaoni kama vile programu ya piki na Duka moja kwa moja.
- Wasiliana: Aidan 0624104887





