Description
Viungo: Ufuta, Ngano, sukari, hamira, nazi, siagi.
Maelezo ya bidhaa
- Mtayarishaji: Cocozania
- Viungo vikuu: Ufuta,Ngano, sukari, unga wa kuoka, nazi,siagi.
- Uidhinishaji wa kikaboni:Inaendelea>
- TB Maendeleo
- Barcode:inaendelea
- Upatikanaji: Inapatikana katika masoko yasiyo rasmi/ya ndani jijini Dar , yenye wigo wa kuingia kwenye chaneli kubwa za rejareja za mijini.
- Wasiliana: Masome Kulwa 0689552150







