Unga wa lishe

Bidhaa ya NUS iliyotengenezwa na wazalishaji wa ndani nchini Tanzania.

  • MzalishajiFazy Food Products
  • MawasilianoZulfa Msami 0712688743
  • ViungoNjugumawe, mchele, ngano, ulezi na mbegu za maboga
  • Uthibitisho wa kikaboniInaendelea
  • Uthibitisho wa TBSInaendelea
  • Wapi KununuaInapatikana sokoni (Lindi) katika maduka makubwa kama Lindi Supermarket, Buti la Zungu na maduka mengine; inaweza kuingia masoko ya mijini.

← Bidhaa zote