Unga wa uji

Maharagwe ya Bambara,mbegu za maboga,Ufuta na Mihogo.

Category:

Description

Viungo: Maharage ya Bambara, mbegu za maboga, Ufuta na Mihogo.

Maelezo ya bidhaa

  • Mtayarishaji: JUKARA
  • Viungo vikuu: Bean ya Bambara,mbegu za maboga,Ufuta na Mihogo.
  • Uidhinishaji wa kikaboni: Umethibitishwa
  • Umethibitishwa

    TB Maendeleo

  • Barcode:inaendelea
  • Upatikanaji: Inapatikana katika soko la ndani (Masasi, Nnyumbu & Lindi); uwezekano wa soko la mijini .
  • Wasiliana: Judith Kaitani 0682526360