Mafuta ya njugumawe

Bidhaa ya NUS iliyotengenezwa na wazalishaji wa ndani nchini Tanzania.

  • MzalishajiHanisul Products
  • MawasilianoHanifa Lutengano 0768239275
  • ViungoNjugumawe na soya
  • Uthibitisho wa kikaboniInaendelea
  • Uthibitisho wa TBSInaendelea
  • Wapi KununuaInapatikana katika masoko ya ndani Dar es Salaam, na nafasi ya kuingia maduka makubwa ya mijini.

← Bidhaa zote