Asali asilia

Bidhaa ya NUS iliyotengenezwa na wazalishaji wa ndani nchini Tanzania.

  • MzalishajiSalibena
  • MawasilianoSalbena 0754618108
  • ViungoAsali
  • Uthibitisho wa kikaboniHapana
  • Uthibitisho wa TBSNdiyo
  • Wapi KununuaInapatikana katika masoko ya ndani na baadhi ya maduka makubwa kama Shoppers na Mkwabi, pamoja na mitandao kama Piki, Tunzaa na Nature Dosh.

← Bidhaa zote